774 B
774 B
Habari ya jumla
Yahwe aendelea kuzungumza
ambaye aongea neno kwa kiburi
Hapa "neno" uwakilisha ujumbe.
kwa jina langu
Hapa "jina langu" urejea kwa Yahwe mwenye na mamlaka yake.
neno ambalo sijakuamuru
Hapa "neno" uwakilisha ujumbe "ujumbe ambao sijakuamuru"
ambaye azungumza kwa jina la miungu mingine
Hapa "jina" uwakilisha miungu yenyewe au mamlaka yao. Hii inamaanisha nabii adai kwamba miungu ya uongo alimwambia kuzungumza ujumbe fulani.
Hivi ndivyo unapaswa kusema kwenye moyo wako
Hapa "moyo" uwakilisha mawazo ya mtu. "Unazungumza mwenywe" au "Unapaswa kusema mwenywe"
Tutagundua je ujumbe wa Yahwe ambao hajazungumza?
"Namna gani tunaweza kujua kama ujumbe ambao nabii amezungumza umetoka kwa Yahwe? Hapa "tu" urejea kwa watu wa Israeli.