sw_tn/deu/17/12.md

533 B

kwa kutomsikiliza kuhani...wala kwa kutomsikiliza mwamuzi

"na hakuna kumtii kuhani...wala hakuna kumtii mwamuzi"

utaondoa mbali uovu toka Israeli.

Jina kivumushi "uovu" inaweza kutofasiriwa kama kivumushi. "unapaswa kumwondoa mtu toka miongoni mwa Waisraeli mtu afanyae kitu kiovu" au "unapaswa kumuawa mtu huyu muovu"

Watu wote wanapaswa kusikiliza na kuogopa, na kutotenda kwa kiburi tena

Inamaanisha kwamba wakati watu wanasikia kuhusu mtu aliyeuawa kwa kufanya kwa kiburi, wataogopa na hawatafanya kwa kiburi wenyewe.