524 B
524 B
Habari ya jumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
ikiwa jambo linatokea
"kama kuna jambo" au "kama kuna hali"
haki ya mtu mmoja na mwingine
"haki" ni mamlaka ya kisheria kufanya kitu fulani au kumiliki kitu fulani.
ndani ya malango ya mji wako
Hapa "malango ya mji" uwakilisha miji. "ndani ya miji yenu"
utatafuta ushauri wako
Jina "ushauri" inaweza kusemwa kama kitenzi. "utawauliza wakushauri"
watakupa uamuzi
Jina "uamuzi" inaweza kusemwa kama kitenzi. "watafanya maaumuzi juu ya mambo"