sw_tn/deu/15/12.md

590 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Kama ndugu yako

Hapa "ndugu" umaanisha Mwisraeli kwa ujumla, kama ni mwanaume au mwanamke.

imeuzwa kwako

Kama watu wasingeweza kulipa madeni, kwa wakati mwingine wanajiuza wenyewe kwa biashara ya utumwa kuplipa kile walichodaiwa.

miaka sita

"miaka 6"

mwaka wa saba

"mwaka wa saba." Huu "mwaka wa sabab ni namba ya upeo ya saba.

usiruhu aende zako mkono tupu

Mtu ambaye hana mali ya kujitolea mwenyewe au familia yake inazungumzwa kama kama mikono yake ilikuwa tupu.

kutoa kwa hiari

"hiari utoa kwake"