sw_tn/deu/14/24.md

211 B

ibebbe

Hapa "i" urejea kwa kumi ya mazao na mifugo.

utabadilisha sadaka kwa fedha

"utauza sadaka yako kwa fedha"

funga fedha katika mkono wako, uende

"weka fedha kwenye mkoba na uchukue pamoja nawe"