sw_tn/deu/13/04.md

1.2 KiB

Utakwenda kumfuata Yahwe Mungu wako

Kumtii na kumwabudu Yahwe huzungumzwa kama watu walikuwa wanatembea au kumfuata Yahwe.

tii sauti yake

Hapa 'sauti' uwakilisha nini Yahwe asema.

kuambatana naye

Kuwa na mahusiano mazuri pamoja na Yahwe na kabisa kumtegemea huzungumzwa kama mtu ameshikamana kwa Yahwe.

utauawa

Hii inaweza kutajwa kwa kauli kazi

amezungumza uasi

Jina "uasi" linaweza kutajwa kama kitenzi

aliyekukomboa katika nyumba ya utumwa

Yahwe kuokoa watu wa Israeli toka utumwa huko Misri huzungumzwa kama Yahwe alilipa pesa kuwaokoa watu wako toka utumwani.

nyumba ya utumwa

Hapa "nyumba ya utumwa" uwakilisha Misri ambapo watu wa Yahwe walikuwa watumwa.

kukuchochea njia ambayo Yahwe Mungu wako alikuamuru uende.

Jinsi Mungu anataka mtu kuishi au kuzungumwa kama kama njia au barabara ambalo Mungu wake watembee. Mtu anayejaribu kumfanya mtu mwingine ache kumtii Mungu huzungumzwa kama mtu huyo alikuwa anajaribu kumfanya mtu mwingine aende njia ya Mungu au barabara.

Basi weka mbali uovu mbali miongoni mwenu

Hapa "uovu" urejea kwa mtu muovu au tabia mbaya. Hili jina kivumushi linaweza kutajwa kama kivumishi. "Unapaswa kumwondoa miongoni mwa watu wa Israeli mtu anayefanya kitu kiovu" au " Unapaswa kumuuwa mtu huyu muovu"