sw_tn/deu/13/01.md

1.2 KiB

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli.

Ikiwa inainuka kati yenu

"Ikiwa inatokea miongoni mwenu" au "Ikiwa mmoja miongonu mwenu anadai kuwa"

mwotaji wa ndoto

Huyu ni yeyote ambaye anapokea ujumbe toka kwa Mungu kupitia ndoto.

ishara au maajabu

Haya ni maneno mawili yaliyo na maana ya kufanana na urejea kwa miujiza tofauti.

inakuja kuhusu

"inafanyika" au "hutokea"

ambayo alikuambia na akasema, 'hebu tufuate miungu mingine ambayo hamjui na tuiabudu.

Hii inaweza kutofasiriwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.

Hebu tufuate miungu mingine.

Kuabudu miungu mingine huzungumzwa kama walikuwa wanaifuata au kufuata miungu mingine.

kufuata miungu mingine, ambayo hamjaijua

Maneno "miungu, ambayo hamjaijua" urejea kwa miungu ambayo makundi mengine ya watu kuabudu. Waisraeli wamjua Yahwe kwa sababu amejifunua mwenyewe kwao na wamepata udhoefu wa nguvu zake.

usisikilize maneno ya nabii, wala ya mwotaji wa ndoto

Hapa "maneno" uwakilisha kilichosemwa.

kwa moyo wako wote na roho yako yote

Hii ni nahau "kwa moyo wako wote" inamaanisha "kabisa" na "kwa ...roho" inamaanisha "kwa uzima wako wote. Haya maneno yana maana ileile.