sw_tn/deu/11/31.md

415 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

amri zote na amri

Hizi ni amri na amri Musa atawapa katika Kumbukumbu la Torati 12-26

Ninaweka mbele yenu leo

Hii haina maana hizi ni mpya. Musa anatazama amri sawa na amri ambazo alitoa miaka 40 mapema.

Ninaweka mbele yenu

Amri za Mungu na amri, ambazo Musa anawaambia watu, huzungumzwa kama vilikuwa ambavyo Musa anaweka mbele ya watu.