sw_tn/deu/11/18.md

1.4 KiB

yaweke haya maneno yangu ndani ya moyo na roho yako

Mtu daima ufikiri kuhusu na kuzingatia kile Musa aamuru inazungumzwa kama vile moyo na roho vilikuwa ni chombo cha maneno ya Musa yalikuwa ni maudhui kujaza chombo

haya maneno yangu

Hapa "maneno" uwakilisha amri za Musa ambazo anazungumza.

moyo wako na roho

Hapa "moyo: na "roho" uwakilisha akili ya mtu au mawazo.

zifunge

"yafunge haya maneno" Neno hili uwakilisha mtu akiandika maneno kwenye ngozi, kuweka ngozi kwenye mkoba, na kuufunga mkoba. Hili neno linaweza kuwa mfano kumaanisha watu wanapaswa kuwa waangalifu kutii amri za Musa.

kama ishara kwenye mkono wako

"kama kitu cha kukufanya wewe kukumbuka sheria zangu"

yawe utepe katikati ya macho yako

"yawe utepe katikati ya macho yako." Haya ni maneno badala ambayo uwakilisha mtu kuandika maneno ya Musa kwenye ngozi, kuweka ngozi kwenye mkoba, na kuifunga ili ikae kati ya macho yako. Mbadala huu unaweza kuwa mfano ambao unamaanisha mtu anapaswa kuwa mwangalifu kutii amri zote za Musa.

utepe

urembo mtu uvaa kwenye paji la uso

wakati unapoketi kwenye nyumba yako, wakati unapotembea njiani, wakati unapo lala chini, na wakati unapo nyanyuka.

Kutumia maeneo tofauti "kwenye nyumba" na "njiani," na kinyume "wakati unapo lala" na "kunyanyuka," uwakilisha popote, wakati wowote. Watu wa Israeli walipaswa kujadili amri za Mungu na kuzifundisha kwa watoto wao wakati wowote na popote.