sw_tn/deu/10/16.md

433 B

Kwa hiyo

"Kwa sababu hii"

kutaili govi la moyo wako

Neno "govi" urejea kwa ngozi iliyojikunja kwa sehemu ya siri ya mwanaume ambayo uondolewa wakati wa kutaili. Hapa Musa anarejea kwa utalili wa kiroho. Hii ina maana watu wanapaswa kuiondoa dhambi toka maishani mwao.

Mungu wa miungu

"Mungu mkuu" au "Mungu pekee wa kweli"

Bwana wa bwana

"Bwana mkuu" au "Bwana mkuu"

wa kutisha

"yeye anayesababisha watu kuogopa"