742 B
742 B
Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani
Taberah...Massah...Kibrothi...Hattaavah
Haya ni majina ya maeneo ambayo watu wa Israeli walipita wakati wakiwa jangwani.
Nenda juu
Walikuwa kwenye nchi ya chini, na nchi Yahwe alikuwa amekwisha waambia kuichukua ilikuwa kwenye mlima, kwa hiyo walipaswa kwenda juu ya mlima kuichukua.
waliasi dhidi ya amri
Neno "amri" ni mbadala wa Yahwe mwenyewe. "Mliasi dhidi ya Yahwe; hamkutii amri"
sikiliza sauti yake
Hapa "sauti yake" ina maana kile Mungu alikwisha sema.
kutoka siku ambayo nilikujua
"kutoka muda nilianza kukuongoza wewe." Tofasiri zingine usoma "kutoka siku ambayo nilikujua wewe," siku ambayo Yahwe kwanza aliwajua.