sw_tn/deu/09/17.md

395 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani.

Niliwavunjwa mbele ya macho yenu

Hapa "macho yenu" ni neno lenye maana sawa na watu wa Israeli.

kulala kifudifudi

"kulala pamoja na uso wangu kuelekea kwenye ardhi." Hii ni njia ya kuonesha kwamba Yahwe alikuwa mkuu na Musa hakuwa.

siku arobaini na usiku arobaini

"siku 40 na usiku 40"