sw_tn/deu/08/01.md

516 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja

Unapaswa kushika...uweze kuishi na kuongozeka, na kuingia ndani na kumiliki...baba zenu

Mifano yote ya "wewe" na "yako" na vitendo viko kwa wingi

miaka arobaini

"miaka 40"

apate kuwanyenyekeza

"apate kuwaonyesha ninyi namna mlivyo dhaifu na wenye dhambi"

Utafakari akilini

Hii ni nahau. "Unapaswa kukumbuka"

kujua

"kudhihirisha" au "kuonyesha"

nini kilikuwa katika moyo wenu

Moyo ni ishara ya tabia ya mtu.