sw_tn/deu/07/20.md

514 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.

Zaidi ya hayo

"Na pia"

tuma nyigu

Yamkini maana ni 1)Mungu atatuma wadudu walikuo ambao wanauuma watu na kusababisha maumivu, au 2) Mungu atasababisha watu kuogopa na kutaka kukimbia.

kuangamia kutoka uweponi mwako

"kufa ili usiwaone tena"

Hautakuwa

"Kamwe"

mkuu na Mungu wa kutisha

"mkuu na Mungu wa kutisha" au "Mungu mkuu asababishae watu kuogopa"

kidogo kwa kidogo

"polepole"