sw_tn/deu/07/09.md

380 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.

kwa vizazi elfu

"kwa 1,000 kizazi"

walipe wale wanaomchukia kwenye uso wao

Hii nahau ina maanisha "kuwalipa kwa haraka na uwazi ili kwamba wajue Mungu amewaadhibu."

hatakuwa na huruma kwa yeyote anayemchukia

"Yahwe atawahukumu kwa ukali wowote wanaomchukia"