sw_tn/deu/04/37.md

344 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja.

baba zako

Hii inarejea kwa Abraham, Isaka, Yakobo, na wana wa Yakobo.

pamoja na uwepo wake, pamoja na nguvu zake kuu

"pamoja na nguvu kuu ambayo huja kutoka kwenye uwepo wake" au "pamoja na nguvu kuu"