sw_tn/deu/04/32.md

540 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na amri "uliza sasa" ni umoja.

Imeshawahi watu kusikia ya Mungu anazungumza katikati mwa moto, kama umekwisha sikia, na kuishi?

Hapa watu wa Israeli wanakumbushwa kwa namna Yahwe amezungumza nao kwa njia ya ajabu siku za nyuma. Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo.

sikiliza sauti ya Mungu anazungumza

Neno "sauti" ni maneno kwa ajili ya Mungu, alikuwa anazungumza. "Sikiliza sauti ya Mungu azungumzapo"