sw_tn/deu/04/23.md

464 B

Zingatia mwenyewe

"Zingatia kwa makini"

Yahwe Mungu wenu amewakataza... Yahwe Mungu wenu

Musa anazungumza kwa wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno, "wewe" na "wako" ni umoja.

Yahwe Mungu wenu ni Mungu wa moto wa mawindo, wivu.

Musa analinganisha namna Yahwe anafanya wakati anakasirika kwa njia ya moto unavyoharibu vitu. " Yahwe Mungu wenu atawahukumu kwa ukali na kuwaharibu kama moto ufanyavyo kwa sababu hataki muwabudu miungu mingine"