404 B
404 B
Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha wanaisraeli historia yao.
pamoja na moto kwa moyo wa mbinguni
Haya maneno "Moyo wa" unamaanisha " katikati ya" au "sehemu ya ndani zaidi," na "mbingu" hapa urejea kwa anga. "pamoja na moto ambao ulienda angani"
kwa giza, mawingu, na giza nene
Hapa "giza nene" uelezea mawingu. "kwa nene, wingu la giza"
giza nene
Maana nyingine ni "wingu zito"