sw_tn/deu/03/26.md

351 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israel kile kilichotokea huko nyuma

Yahwe alikasirika juu yangu kwa sababu

Hii inarejea kwa wakati Musa hakutii kile Yahwe alimwambia kufanya kwa sababu Musa alikuwa amewakasirikia watu wa Israeli.

inua macho yako

Haya maneno "Inua macho yako" yako ni maneno ambayo yana maanisha kutazama.