sw_tn/deu/03/19.md

790 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza kwa makabila ya Reuben na Gadi na nusu ya kabila la Manasseh.

Yahwe awapa ndugu zenu pumziko

Mwandishi anazungumza kama uwezo wa kupumzika ulikuwa ni suala la kimwili ambalo linaweza kutolewa kama zawadi. Neno "pumziko" pia ni mfano kwa maisha ya amani ambayo hayana vita. "Yahwe awaruhusu ndugu zenu kupumzika" au "Yahwe awaruhusu ndugu zenu kuacha kupigana vita na kuishi kwa amani"

ng'ambo ya Yordani

Hii inarejea kwa nchi kuvuka mto Yordani, mashariki mwa Israeli. Musa alikuwa mashariki mwa Yordani wakati aliposema hiki. "mashariki mwa mto Yordani."

kisha utarudi

Musa anasisitiza kwamba makabila mengine yanapaswa kumiliki maeneo yao kabla ya Yahwe ataruhusu haya makabila matatu kumili nchi yao. "kisha mtarudi peke yenu."