sw_tn/deu/02/36.md

548 B

Aroer

Hili ni jina la mji ulioko kaskazini ukingoni mwa mto Arnon.

bonde la Arnon

"Arnon: ni jina la mto.

hapakuwa na mji mrefu kwetu

Taarifa hii iliyo chanya inatumika kusisitiza mafanikio yao kwenye vita. Hii inaweza kutajwa katika hali ya chanya. "tuliweza kuwashinda watu wa kila mji hata kama mji ulikuwa na kuta ndefu kuizunguka."

haukuenda

Musa anazungumza kwa wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo "wewe" ni umoja

Mto Jabboki

Hili ni jina la mto ambao ulitengeneza mpaka kati ya nchi ya Sihoni na nchi ya Ammonites.