sw_tn/deu/02/34.md

231 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu kuhusu kile kilichotokea hapo nyuma.

Tulichukua miji yake yote

"Tuliiteka miji yote ya mfalme Sihoni.

kuharibu kabisa kila mji

"kuua watu wote walioishi kwenye kila mji"