sw_tn/deu/02/24.md

1.2 KiB

Taarifa ya ujumla

Mwandishi amemaliza kutoa taarifa za nyuma na sasa tena anaeleza kile Musa alisema kwa wanaisraeli

Sasa inuka

Yahwe anamwambia Musa nini watu wanapaswa kufanya. "Sasa inuka" au "Sasa nenda"

nenda katika njia yako

"endelea safari yako"

bonde la Arnon

Hili ni jina la bonde la mto wa Arnon. Utengeneza mpaka kati ya Moabu na Amorites.

Nimejiweka katika mkono wako

Haya maneno "katika mkono wako" unamaanisha "kwenye utawala au nguvu yako" "Nimekupa nguvu ya kushinda"

mkono wako...Kuanza kumiliki...kupigana...kukutisha...habari kuhusu wewe...kwa sababu yako

Musa anazungumza kwa wanaisraeli kama alikuwa mtu mmoja, hivyo mifano mingi ya "wewe" na "yako" na amri " kuanza kumiliki" na "kupigana" ni umoja.

Sihoni

Hili ni jina la mfalme.

Heshboni

Hili ni jina la mji.

pigana naye

"pigana dhidi yake na jeshi lake"

weka uoga na utisho

Haya maneno "uoga" na "utisho" unamaanisha kwa msingi kitu kile kile na kusisitiza kwamba uoga ni mkubwa

watu ambao wako chini ya anga lote

Hii ni nahau "watu katika kila nchi"

kutetemeka na kuwa katika uchungu

Haya ni maelezo ya wazo moja katika maneno mawili na kusisitiza kwamba watu wata "ogopa kwa uchungu"