sw_tn/deu/02/20.md

877 B

Taarifa ya ujumla

Hii mistari inaanza kutoa taarifa ya nyuma kuhusu makundi ya watu yaliyokwisha ishi kwenye nchi hiyo. Kama lugha yenu ina njia ya kuonesha kwamba kile kifuatacho ni taarifa ya nyuma, inapaswa itumiwe hapa.

Hilo pia linafikiriwa

Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji.

Rephaimu

Hili ni jina la kikundi cha watu.

Zamzummim

Hili ni jina jingine la kikundi cha watu wa Rephaim.

Anakimu

Hili ni jina la kikundi cha watu

uwaharibu wao mbele ya Ammonites

"waliruhusu Ammonites kuwashinda wao" au "waliruhusu Ammonite kuwaua wote"

waliwaondoa na kuishi katika nchi yao

"Ammonites walichukua kila kitu Rephaim walivyokuwa wamemiliki na kuishi walikoishi Rephaim"

Horites

Hili ni jina la kikundi cha watu

waliwaondoa na kuishi katika eneo lao

"kuchukua kila kitu cha watu wa Horites walivyomiliki na kuishi ambako waliishi Horites"