sw_tn/deu/02/16.md

424 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kwa kile kilichotokea nyuma

Wewe...umekuja...usihangaike...nakupa

Musa anazungumza kwa wanaisrael kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote "wewe" na amri "usihangaike" ni umoja

pita juu ya Ar

Hili ni jina la mji wa Moabu.

uzao wa Lutu

Hawa watu wa Israel walihusiana na uzao wa Ammoni. Ammoni alikuwa mtoto wa Lutu. Lutu alikuwa mpwa wa Abrahamu.