sw_tn/deu/02/04.md

240 B

Taarifa ya ujumla

Yahwe aendelea kuzungumza na Musa

wa ndugu zako, wazao wa Esau

"wa ndugu zako, wazao wa Esau"

Nimeutoa mlima Seir kwa Esau kama miliki

Yahwe anawakumbusha wanaisraeli kwamba amewapa eneo hili kwa wazao wa Esau.