sw_tn/deu/02/01.md

563 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini kizazi cha awali cha Israeli kilichofanya.

Kisha tuligeuka na kuanza safari yetu

"Kisha tuligeuka nyuma na kwenda"

tulienda nyuma Mlima wa Seir kwa siku nyingi

Maana zinazowekana ni 1) Wanaisraeli walisafiri karibu na mlima wa unaoitwa Seir kwa muda mrefu 2) Wanaisraeli walitangatanga katika mkoa unaoitwa Mlima wa Seir kwa muda mrefu.

Mlima Seir

Hili ni eneo la mlima kusuni mwa bahari mvu. Hii eneo linaitwa Edom.

siku nyingi

Lugha baadhi zinatofasiri hii kama "usiku mwingi"