sw_tn/deu/01/41.md

512 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini kizazi cha awali cha Israeli kilichofanya

kufanya dhambi dhidi ya Yahwe

"tumeasi dhidi ya Yahwe kwa kutomtii yeye"

tutamfuata

"tutamtii"

kuvamia nchi ya mlima

Hapa maneno "nchi ya mlima" uwakilisha watu ambao wanaishi huko. "kuwavamia watu wanaoshi kwenye nchi ya mlima."

kwa kuwa sitakuwa na wewe, na utashindwa na adui zako

Hii inaweza kutajwa katika kauli tendaji. "maadui zako watakushinda kwa sababu sitakuwa pamoja nawe."