sw_tn/2ki/24/18.md

351 B

ishirini na moja ... kumi na moja

moja ... kumi na moja - "21 ... 11"

Hamutali

Hili ni jina la mwanamke.

Yeremia

Hili ni jina la kiume.

Libna

Hili ni jina la mahali

Alifanya uovu usoni mwa Yahwe

"uovu" unaweza kutafsiriwa kama "vitu ambavyo ... viovu." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea vile ahukumuvyo au kuamua kwenye thamani ya kitu.