sw_tn/2ki/24/13.md

650 B

Suleimani mfalme wa Israeli alivitengeneza

Unaweza kutaka kutafsiri hivi ili msomaji aelewe kwamba Suleimani anaweza kuwa alikuwa na msaada mwingine kufanya hivo.

Aliwachukua Yerusalemu wote kwenda uhamishoni

Hii ni kutengwa, na neno "Yerusalemu" ni ishara kwa ajili ya watu walioishi huku. "Nebukadreza aliwachukua watu wote muhimu kutoka Yerusalemu"

na mafundi wote, na wafua vyuma

"watu waliojua jinsi ya kufanya na kukarabati vitu ambavyo vimetengenezwa kwa chuma"

Hakuna aliyeondoka isipokuwa watu maskini kabisa katika nchi

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi chanya. "Watu maskini kabisa pekee katika nchi bado wanaishi huko"