sw_tn/2ki/24/08.md

380 B

Nehushta ... Elnathani

Nehushta ni jina la mwanamke. Elnathani ni jina la mwanamume.

Alifanya yaliyo maovu usoni mwa Yahwe

"uovu" unaweza kutafsiriwa kama "vitu ambavyo .. viovu." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea ahukumuvyo au aamuavyo juu ya thamani ya kitu.

alifanya yote baba yake aliyoyafanya

Hii inajumuisha. "alifanya baadhi ya dhambi baba yake alizokuwa amezifanya"