sw_tn/2ki/21/21.md

419 B

kufuata njia zote ambazo baba yake alienenda kwazo

"kutembea katika njia zote ambazo baba yake alienenda kwazo." Jinsi ambavyo mtu aishivyo inzungumziwa kana kwamba huyo mtu alikuwa akitembea kwenye njia. "kuishi hasa ambavyo baba yake alivyoishi"

Alijitenga na Yahwe

"Alienda mbali na Yahwe" au "Hakumsikiliza tena Yahwe"

kufanya njama juu yake

"kufanya mpango na kufanya kazi pamoja kwa ajili ya kumdhuru"