sw_tn/2ki/18/36.md

276 B

Eliakimi ... Shebna ... Joa ... Asafa

Haya ni majina ya wanaume.

ambaye alikuwa juu ya nyumba ya mfalme

"aliyeisimamia nyumba ya mfalme"

mtunza kumbu kumbu

"mtunza hadithi"

kamanda mkuu

ni tafsiri ya Kiebrania; wengine wanaiona hii kama jina la mtu, "Rabshake"