sw_tn/2ki/18/33.md

1.1 KiB

Maelezo ya Jumla:

Rabshake anaendelea kueleza ujumbe kutoka kwa mfalme wa Ashuru kwa watu Mfalme Hezekia.

Je miungu yoyote ... Ashuru?

Je miungu yoyote ... Ashuru? Anazungumza hili swali kusisitiza kwa sababu wanajua majibu. "Hakuna miungu ya watu iliyowaokoa ... Ashuru."

Iko wapi miungu ya ... Arpadi?

Anauliza hili swali kwa msisitizo kwa sababu wanajua majibu. "nimeiharibu miungu ya ... Arpadi"

Hamathi ... Arpadi ... Sefarvaimu ... Hena ... Iva ... Samaria

Haya ni majina ya mahali yanayowakilisha watu wanaoishi huko.

kutoka mkono wangu

"mkono" ni picha ya utawala, nguvu, au mamlaka. "nje ya utawala wangu"

je kuna mungu aliyeiokoa nchi yake kutoka nguvu yangu."

Anauliza hili swali kwa ajili ya kusisitiza kwa sababu wanajua majibu. "Hakuna mungu aliyeiokoa yake kutoka uweza wangu."

kutoka uweza wangu

"Uweza wangu" ni picha ya mtu anayeishilia. "kutoka kwangu"

Inawezekanaje Yahwe akaiokoa Yerusalemu kutoka kwenye uwezo wangu?"

Anazungumzia hili swali kwa ajili kusisitiza kwa sababu wanalijua jibu. "Hakuna njia Yahwe anaweza kuiokoa Yerusalemu kutoka uweza wangu!"