sw_tn/2ki/18/31.md

518 B

Fanyeni amani pamoja nami na njooni kwangu

"Tokeni kwenye mji na jisalimisheni kwangu" (UDB) au "Fanyeni makubaliano pamoja nami kujisalimisha, na tokeni kwenye mji mje kwangu"

mzabibu wake mwenyewe ... mti wake mwenyewe wa mtini ... birika lake mwenyewe

Hivi vyanzo vya chakula na maji ni picha ya ulinzi na wingi. Hii pia ilikuwa kawaida ya kueleza hili wazo.

nchi ya nafaka na divai yetu ... mkate na mashamba ya mizabibu ... na miti ya mizaituni na asali

Huu ni mfano wa vitu vizuri na wingi kila siku.