sw_tn/2ki/18/28.md

304 B

kutoka nguvu yangu

"nguvu yangu" ni picha ya uwezo wa mfalme mwenyewe. "kutoka kwangu" au "kutoka kwenye nguvu ya jeshi langu"

huu mji hautawekwa kwenye mkono wa mfalme wa Ashuru

Yahwe hatamruhusu mfalme wa jeshi Ashuru kuuchukua huu mji"

mkono

"mkono" ni ishara ya utawala, mamlaka na nguvu.