sw_tn/2ki/18/01.md

421 B

Maelezo ya Jumla:

Hezekia akawa mfalme juu ya Yuda katika sehemu ya baba yake Mfalme Ahazi.

Hoshea ... Ela ... Zekaria

Haya ni majina ya wanaume.

Abija

Hili ni jina la mwanamke.

Alifanya yale yaliyo sahihi usoni mwa Yahwe

"Katika macho" ni mfano wa umakini wa Yahwe na kujali. "Mfalme Hezekia alifanya yale yaliyokuwa sahihi mbele ya Yahwe" au "Hezekia alifanya mambo ambayo Yahwe alisema yalikuwa sahihi"