sw_tn/2ki/17/36.md

295 B

Maelezo ya Jumla:

Ufupisho unaelekea mbele mwishoni pamoja kwa muomba Yahwe pekee.

pamoja na nguvu kubwa na mkono ulionyooshwa

Neno "mkono ulionyooshwa" ni picha ya kuonyesha nguvu na kumaanisha kimsingi jambo moja kama "nguvu kubwa." pamoja na nguvu kubwa" (UDB)

kuzishika

"kuzitii"