sw_tn/2ki/16/17.md

390 B

vitako vinavyobebeka

Hivi vitako vilikuwa magurudumu juu yao hivyo wangeweza kuvihamisha kuzunguka. "vitako vya kuhamisha" au "mikokoteni"

pia alichukua bahari

"Bahari" lilikuwa beseni kubwa au bakuli la maji ambalo lilitengenezwa kwa shaba. "pia aliondoa bakuli kubwa"

kwa sababu ya mfalme wa Ashuru

Kwa nini walifanya hivi inaweza kuwekwa wazi. "kumfurahisha mfalme wa Ashuru"