sw_tn/2ki/16/13.md

820 B

Maelezo ya Jumla:

Hivi ndivyo Ahazi alifanya baada ya kurudi kutoka Damaskasi na kutembelea madhabahu mpya aliyokuwa ameagiza ijengwe.

Alitengeneza sadaka yake ya kuteketeza

"Mfalme Ahazi alitengeneza sadaka yake ya kuteketeza"

juu ya madhabahu

Hii inarejea kwa madhabahu ambayo Mfalme Ahazi aliyomwambia Uria kujenga.

Mdhabahu ya shaba iliyokuwa mbele ya Yahwe

Hii ilikuwa ambayo watu wa Israeli waliitengeneza siku za nyuma zilizopita kulingana na maelekezo ya Mungu.

Madhabahu ya shaba yaliyokuwa mbele ya Yahwe

Neno "mbele ya Yahwe" ni picha inayorejea sehemu ambayo Yahwe alionyesha utukufu wake wa nyuma. "Madhabahu ya shaba iliyokuwa mbele ya hekalu"

kutoka mbele ya hekalu ... kutoka katikati ya madhabahu yake na hekalu la Yahwe

Haya maneno mawili yanaeleza madhabahu ya shaba ilipokuwa.