sw_tn/2ki/16/07.md

893 B

Tiglath Pileseri

Katika 15:19 huyu mtu alikuwa anaitwa "Puli."

mimi ni mtumishi wako na mwanao

Kuwa mtumishi na mwana inawakilisha kutii mamlaka ya mtu. "nitakutii kana kwamba nilikuwa mtumishi wako au mwana wako"

kutoka kwenye mkono wa mfalme wa Ashuru na kutoka kwenye mkono wa mfalme wa Israeli

Mkono ni picha inayowakilisha uweza. "kutoka kwenye uweza wa mfalme wa Ashuru na kutoka kwenye uweza wa mfalme wa Israeli"

ambaye aliyenishambulia

Wafalme kumteka Ahazi inawakilisha maadui wa hao wafalme kunishambulia pamoja na maadui zao"

Mfalme wa Shamu akapanda juu Damaskasi

Neno "mfalme" linawakilisha mfalme na jeshi lake. "mfalme wa Ashuru na jeshi lake walipanda juu ya Damaskasi"

kuwabeba watu wake kama hata Kiri

Kuwabeba watu wake inawakilisha kuwalazimisha kwenda mbali. "kuwafanya watu wake wafungwa na kuwalazimisha kwenda Kiri"

Kiri

Hili ni jina la mji