sw_tn/2ki/16/05.md

575 B

Riseni ... Peka ... Remalia

Haya ni majina ya wanaume.

wakamzunguka Ahazi

Ahazi alikuwa Yerusalemu. Hapa "Ahazi" inamuwakilisha yeye mwenyewe na watu waliokuwa katika Yerusalemu pamoja naye. "waliuzunzunguka mji pamoja na Ahazi katika huo" au "walimzunguka Ahazi na wengine katika mji pamoja naye"

akamponya Elathi kwa Shamu

Hii inawakilisha kuchukua utawala wa Elathi ili kwamba uwe milki ya watu wa Shamu. "kuchukua utawla wa mji wa Eliathi"

Eliathi

Hili ni jina la mji.

kuwapeleka watu wa Yuda nje ya Elathi

"kuwalazimisha watu wa Yuda kuondoka Elathi"