sw_tn/2ki/16/01.md

583 B

Katika mwaka wa kumi na saba wa mfalme Peka mwana wa Remalia

Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa kumi na saba wa utawala wake. "Katika mwaka wa 17 wa utawala wa Peka mwana wa Remalia"

Peka ... Remalia

Haya ni majina yakiume. Peka alikuwa mfalme wa Israeli.

kile kilicho sahihi katika macho ya Yahwe Mungu wake

Hili neno "machoni mwa Yahwe" ni picha kwa ajili ya uso wa Yahwe, "kile kilichokuwa sahihi katika Yahwe hukumu ya Mungu wake" au "kile Yahwe Mungu wake alichofikiria kuwa sahihi"

kama Daudi mzee wake alichokuwa amefanya

Daudi alifanya yaliyosahihi.