sw_tn/2ki/15/13.md

670 B

katika mwaka wa thelathini na tisa wa Azaria mfalme wa Yuda

mwaka wa tisa wa Azaria mfalme wa Yuda - Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa thelathini na nane wa utawala wake. "katika mwaka wa 39 wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda"

Shalumu ... Yuda

Haya ni majina ya wanaume.

Menahemu ... Gadi

Haya ni majina ya wanaume wawili.

alitawala mwezi mmoja pekee katika Samaria

Samaria ni mji ambao aliishi alipokuwa mfalme wa Israeli. "Shalumu aliishi katika Samaria na kutwala juu ya Israeli kwa mda wa mwezi mmoja tu"

akawa mfalme katika mahali pake

Neno "katika mahali pake" ni sitiari inayomaanisha "badala yake." "kuwa mfalme badala ya Shalumu"