sw_tn/2ki/15/04.md

715 B

mahala pa juu hapakuwa pameondolewa

"hakuna aliyepaondoa mahali pa juu" au "Azaria hakuwa na yeyote wa kupaondoka mahali pa juu"

hapakuchukuliwa

Kuchukuliwa inawakilisha kuharibiwa. "paliharibiwa"

hata siku yake ya kufa

"kifo" "kufa" "hata siku aliyokufa"

Yothamu, mwana wa mfalme, alikuwa juu ya kaya

Neno "kaya" linarejea kwa watu waishio katika nyumba ya kifalme. Kwa sababu Azaria alikuwa na ukoma, alitakiwa aishi katika nyumba iliyojitenga. Hivyo mwana wake, Yothamu, akachukua shtaka juu ya nyumba ya kifalme.

alikuwa juu ya kaya

Kuwa juu ya kaya inawakilisha kuwa na mamlaka juu ya walio humo. "alikuwa kiongozi wa kaya" au "alikuwa na mamlaka juu ya wale walio katika nyumba ya Hazaria"