sw_tn/2ki/12/01.md

798 B

Katika siku ya saba ya Yehu

"Kipindi cha mwaka wa 7 wa utawala wa Yehu juu ya Israeli"

utawala wa Yoashi ulianza

"Yoashi alianza kutawala juu ya Yuda"

Sibia

Hili lilikuwa jina la mwanamke.

Sibia, wa Bersheba

"Sibia, kutoka mji wa Bersheba" (UDB)

kile kilicho sahihi usoni mwa Yahwe

Neno "uso wa Yahwe" linawakilisha asili ya Yahwe. "kile kilichokuwa kinampendeza Yahwe"

kumwelekeza

"kumfundisha"

Lakini mahali za juu hazikuwa pamechukuliwa

Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Lakini watu hawakuziharibu mahali za juu"

Watu wakaendelea kutoa sadaka na kuchoma ubani kwenye sehemu za juu

Yahwe aliwakataza watu kuabudu katika hizi sehemu. Hii inaweza kuwa wazi. "Watu waliendelea kwenda sehemu ambazo hazikukubaliwa na Yahwe, kufanya dhabihu na kuchoma ubani"