sw_tn/2ki/11/04.md

645 B

Kauli Unganishi:

Hii inaendelea hadithi ya kilichotokea baada ya Yoashi, mwana wa Mfalme Azaia, alijificha kwenye hekalu baada ya Wafalme wote wa uzao wa Ahazia kuawa.

Katika siku ya saba

"Katika siku ya saba ya utawala wa Athalia" au "Katika mwaka wa 7 wa utawala wa Athalia"

Yehoyada

kuhani mkuu

Wakari

Hili ni jina la kundi maalumu la walinzi wa kifalme.

kuwaleta kwake

Yehoyada, kuhani mkuu, alikuwa na hawa askari wa kijeshi wakitoa taarifa kwake kwenye hekalu. "walikuja kuonana naye kwenye hekalu"

Kisha akawaonyesha mwana wa mfalme

Yehoyada akawafunulia kwamba Yoashi, mwana wa Mfalme Azahia, alikuwa bado yu hai.