sw_tn/2ki/10/18.md

467 B

akawakusanya

"akawaita"

watu wote pamoja

"watu wote wa Samaria"

kumwokoa zaidi

"kumwokoa zaidi kuliko Ahahbu"

Asikosekane mtu hata mmoja

"Usimwache mtu hata mmoja nje"

Yeyote ambaye hatakuja hataishi

Hii inamaanisha kwamba kama hawatakuja watapingwa. "Tutawapinga yeyote ambaye hatakuja"

Tengeni mda

Hii inamaanisha kuonyesha na kuandaa majira ya mda kwa ajili ya kitu. Katika kesi hii walitakiwa kuandaa kwa ajili ya mkutano wa Baali. "Andaa"