sw_tn/2ki/10/12.md

490 B

Bethi Ekedi ya mchungaji

hili lilikuwa jina la mahali ambapo kondoo walipokuwa wakinyolewa.

kwenda chini kusalimia

"kwenda kutembelea"

watoto wa mfalme

"watoto wa Mfalme Yoramu"

Kuwachukua hai

Hii inamaanisha kuwakamata, lakini sio kuwaua. "Kuwatwaa!" (UDB) au "Kuwakamata!"

Hivyo waliwachukua wakiwa hai

"Hivyo waliwakamata"

watu arobaini na mbili

watu wawili "watu 42"

Hakumwacha hata mmoja wao akiwa hai

Hii inaweza kuelezwa katika muundo hasi. "aliwaua wote"